Rudi kwenye habari
Maziwa na Mashamba
Tunaongoza kwa teknolojia ya UHT
ASAS Dairies ni mojawapo ya kampuni chache Tanzania zinazotumia teknolojia ya UHT.

Tanzania inapojiandaa kwa kiwanda chake cha kwanza cha maziwa ya unga, ASAS Dairies inajivunia kuwa mstari wa mbele katika sekta hii.
Sisi ni mojawapo ya kampuni chache Tanzania zinazotumia teknolojia ya UHT, inayoyaweka maziwa salama na freshi kwa muda mrefu zaidi.

