Rudi kwenye habari
Maziwa na Mashamba
Barabara bora kwa wafugaji wadogo wa maziwa
Usafiri duni unawapotezea wafugaji maziwa yao.

Wafugaji wadogo wa ng’ombe wa maziwa kote Tanzania wanapoteza maziwa, na kipato, kwa sababu ya miundombinu duni ya usafiri.
ASAS Dairies Farm inaunga mkono wito wa barabara bora, ili maziwa freshi yawafikie wasindikaji kwa wakati.

